Tuesday, September 1, 2009

NA MIE SICHEZI MBALI.

baada ya usaili tulijivinjari kuitafuna iringa, hapa nashoo love na cameraman wa maisha plus, baby madaha na mie.

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

You look great Brother.
Good to see you back mankind

John Mwaipopo said...

eti makanyagio iringa ulanzi bado upo au ushakauka. naambiwa huwa haukaukagi huko?