
msanii toka Mombasa Kenya Nyota Ndogo amewaacha hoi watu alipotoa kauli "tata" kuwa anatamani mtoto lakini hana mwanaume kwa sasa, isssue hapa ni kwamba nyota mwenye mtoto wa miaka minne sasa anahusishwa kimapenzi na matangazaji wa radio ya Q FM ya Nairobi na hivi juzi aliripotiwa na wadaku kukaa kwake muda mrefu dar anajiachia na brother mmoja ambaye hajawekwa hadharani, japo picha yake wakibusiana ilitolewa gazetini na yeye hakukanusha wala kukubali kujirusha naye.
nyota alitoa kauli hiyo juzi wakati akitoa misaada kwa watoto yatima kwenye sikukuu za eid el fitr.
2 comments:
Jamani kazi kwelikweli duniani kuna mambo !!!
Vivi afrika upo wapi nimekuwekea ngama ya Mdumange lakini umepotea.
Post a Comment