Wednesday, September 9, 2009

TAMASHA LA 7 LA MUZIKI WA AFRIKA LONDON LAJA!

tamasha litaanza ijumaa tar 11 jumamosi tar 12na kumalizikia jumapili tar 13 September 2009
baadhi ya wanamuziki watakaotoa burudani hadhara(live performance) ni pamoja na;
OLIVER MTUKUDZI & BLACK SPIRIT Zimbabwe HIL ST SOUL Zambia THE CONGO ALLSTARS Congo THE YORUBA WOMEN CHOIR Nigeria AZIZA BRAHIM Western Sahara THE FUTURE SOUNDS OF AFRICA Pan Africa N'FALY KOUYATE, BA CISSOKO, PRINCE DIABATE KORA TRIO Guinea ED BENTLEY Ghana YOLANDA BROWN UK EL ANDALUZ Algeria LORD ERIC SUGUMUGU Ghana DELE SOSIMI Nigeria RACHEL MAGOOLA Uganda ANNA MUDEKA Zimbabwe SAM DJEGUE Cameroon KAZ KASOZI Uganda BATANAI Zimbabwe FAYYAZ VIRJI Tanzania KUNLE OLASOJU Nigeria

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Habari ndio hiyo sijui niende maana naona kutakuwa na mambooo safiiii. Asante kwa taarifa.