Monday, September 21, 2009

UNAWAKUMBUKA MAGIC SYSTEM

leo naacha uwanja mpana kwa wadau wenye kimbukumbu na stori za vijana hawa toka ivory coast "magic system" wamwage data, mambo ya "premiere gaou"

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mie siwajua ndo kwanza nawasikia bahati mbaya:-(

Anonymous said...

NAWAKUMBUKA SANA HAWA JAMAA FANYA KUTUAMBIA WADAU NINI WANAFANYA SASA IVI

Anonymous said...

NAWAKUMBUKA SANA HAWA JAMAA FANYA KUTUAMBIA WADAU NINI WANAFANYA SASA IVI

Anonymous said...

NAWAKUMBUKA SANA HAWA JAMAA FANYA KUTUAMBIA WADAU NINI WANAFANYA SASA IVI