Thursday, October 22, 2009

AMANI SASA KWA AJILI YA WATOTO YATIMA!

mshindi wa tuzo za mtv Cecilia Wairimu a.k.a Amani mwishoni mwa wiki ijayo atafanya onyesho maalum la kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto waishio katika mazingira magumu.
onyesho hilo linatarajiwa kufanyika ijumaa ya tarehe 30. 10.2009, katika hoteli ya Sarova Whitesands.

No comments: