ningefurai zaidi kama wasanii wanafanya vizuri duniani kama jamaa hawa kafanya collabo>>>>>>litakuwa KALI USILIPME>>JREE
Wakifanya collabo itakuwa poa balaa, maana si unajua sauti ya Akon kaka daaaaaah!!!!!! then siyo siri hakuna mwanamuziki ninayemfeel Kongo kama FALLY IPUPA. duuuuuuh!!!!!!!
safi sana JREE itakua kali,jacline charles safi kwa kuwafeel waafrika wenzetu.kanyaga twende wadau.
Kama Fally kafanya collabo na Olivia wa G-Unit then why not with Akon!!!
ha haaaaa ilove that candy1, hiyo imekaa vizuri, lets wait and see.
Post a Comment
5 comments:
ningefurai zaidi kama wasanii wanafanya vizuri duniani kama jamaa hawa kafanya collabo>>>>>>litakuwa KALI USILIPME>>JREE
Wakifanya collabo itakuwa poa balaa, maana si unajua sauti ya Akon kaka daaaaaah!!!!!! then siyo siri hakuna mwanamuziki ninayemfeel Kongo kama FALLY IPUPA. duuuuuuh!!!!!!!
safi sana JREE itakua kali,
jacline charles safi kwa kuwafeel waafrika wenzetu.
kanyaga twende wadau.