
“….kuna uvumi kuwa nimeshambuliwa kwa risasi nikiwa Amsterdam! si kweli niko salama na hakuna tukio kama hilo. nadhani walitaka kutengeneza pesa kupitia mimi. ukweli ni kwamba hakuna hata aliyenisukuma niko salama.” ilimaliza taarifa hiyo.
ijumaa ya tar 02/10/09 gazeti moja nchini Uganda liliripoti kuwa onyesho la msanii huyo liliingia dosari baada ya mtu mwenye silaha kutaka kummaliza jose na kusababisha vurugu za watu kuokoa maisha yao katika show ya tar 26 huko Café Legmer in Amsterdam.
1 comment:
Twashukuru kama u salama kwani wewe ni mwimbaji ambaye nakusikiliza sana pamoja na familia yangu. Nakutakia mafankio mema na uwe salama wakati wote wa ziara yako. Mungu awe nawe.
Post a Comment