Mkongwe wa rhumba nchini congo BOZI BOZIANA jumapili ya actoba 4 alitambulisha album yake ya « Crise financière » yani mtikisiko wa uchumi katika show kali ndani ya chez ma bikapi, 13th Street Industrial Limete. katika onyesho hilo mzee benz alipiga rekodi zake za zamani na kumalizia na ngoma mpya ambazo zilikonga nyoyo za mashabiki wake. Pichani mzee wa viva afrika nikitwanga naye snepu alipotembelea homu kwa ajili ya uzinduzi wa album ya akudo impact. Friday, October 9, 2009
BOZI BOZIANA a,k,a BENZ BADO WAMO!
Mkongwe wa rhumba nchini congo BOZI BOZIANA jumapili ya actoba 4 alitambulisha album yake ya « Crise financière » yani mtikisiko wa uchumi katika show kali ndani ya chez ma bikapi, 13th Street Industrial Limete. katika onyesho hilo mzee benz alipiga rekodi zake za zamani na kumalizia na ngoma mpya ambazo zilikonga nyoyo za mashabiki wake. Pichani mzee wa viva afrika nikitwanga naye snepu alipotembelea homu kwa ajili ya uzinduzi wa album ya akudo impact.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

1 comment:
Duh! huyu miaka ile ya tisini nilikuwa namsikiliza kweli na pia kunengua...LOL
Post a Comment