Tuesday, October 6, 2009

MWANA WA AFRIKA ULAYA TENA!

baada ya kutambulisha album yake ya pili FALLY anazidi kupata mashavu, na sasa anaenda kwenye ukumbi wenye hadhi kubwa huko ufaransa, haya sasa wadau wa ughaibuni kijana hakauki huko mpeni tafu mwana wa afrika yu aja siku ya pili ya mwaka mpya.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Poa, poa kabisa hakuna taabu. Ulikuwa umepotea kidogo viva afrika.

Mzee wa Changamoto said...

Umerejea nikapotea mie. Sasa nimerejea naamini upo. Au sio? Kama upo nami nipo basi tupo na kwa PAMOJA tutawakilisha.
Blessings