Tuesday, October 20, 2009

SOLEI WANGA NA UJIO MPYA

kiongozi wa kundi la La Bomba SUN WANG GUY VAM BRAWN maarufu kama solei wanga aliyetamba sana alipokuwa na mopao koffi olomide naye yu tayari kudondosha mzigo wake sokoni. kwa sasa solei yuko paris akimalizia clip za video yake mpya toka katika album yake ya "APRES TOI" akimaanisha "baada yako" na kazi imefanyika Studio za Grand Army of the Porte. haya baada ya kina fally na ferre huyu ni mwingine toka kwa koffi, danny manyiwa upooo, big producer maghambo hapo vipi. mzee wa reggae mubelwa tuko pamoja au nakuacha njiani?.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Mubelwa njoo ujibu swali hapa au hujaona nini ...LOL. Mmmmh kazi ipo.