Friday, October 16, 2009

LADY JAY DEE KUNAKSHI SIKU YA UMASIKINI DUNIANI

diva lady jay dee anazidi kushine na kujiongezea heshima katika kiwanda cha bongo flava kwa kushiriki katika matukio mbalimbali ya kijamii, tarehe 18 october ni siku ya umasikini duniani ambapo itaadhimishwa viwanja vya mnazi mmoja jijini dar na jide kala shavu na atatia nakshi siku hiyo. jide atapanda jukwaani na bendi yake ya machozi ambayo iko mbioni kutupa sokoni album yake ambayo tuliopata bahati kiskiza tumekubali jide ni comandoo.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

jide ni kiboko. Tunataa watu kama hawa Viva Jidi na Viva afrika.