Monday, November 2, 2009

MKWALA WA SOLEIL WANGA STUDIO,,,,,,,,,

mwanamuziki soleil wanga akiwa na wenzie mamadou na koulibaly katika upishi wa album yake ya"APRÈS TOI", soleil amejinadi kuwa album yake yaja na ubora wa kiwango cha kimataifa ili asiwaangushe watu wake.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri!

XTRA COVER. said...

Mkwala mwisho wake ni majalala jamaa aangalie kwa sababu hivi sasa kuna ushindani kinoma yaaani.

Mzee wa Changamoto said...

Kama kasema basi ana MSUKUMO
Twaisubiri

Yasinta Ngonyani said...

Ulamwike! Upo salama uko ulipo maana ukimya huu....

dina marios said...

Halafy kuna msanii fulani wa band ya hapa tz anaimba kama yeye,sijui nimimi sikio langu limefananisha tu..