



GATHO BIEVEN
kwa mara ya kwanza katika historia mtunzi mahiri wa muziki congo SOUZY KASEYA amewakutanisha wakongwe na kufanya nao kazi ya kupiga vita ukimwi kupitia muziki. wakongwe ambao hakuna aliyetarajia kama wangekaa meza moja wamekubali kufanya kazi hiyo na habari zinasema tarajia kupata ladha hiyo kabla ya tarehe 1 december ambayo ndo siku ya ukimwi duniani, nyota watakaosikika katika album hiyo ni : Papa Wemba, Mbilia Bel, Koffi Olomide, Tshala Muana Jean Goubald, Werrason, JB Mpiana, Lokwa Kanza , Gala Ferre, Fally Ipupa, GATHO Beevens Barbara Kanan, Evoloko Jocker, Bozi Boziana na Kitsusu Mabiala, .
2 comments:
Wow! ni kweli wote hao ni wakongwe safi sana wanarudi tena. Ila naona miaka hii kila kitu zha zamani kinarudi tena.
Hizo tunaziita juhudi binafsi.
Swaaafi saaaaana
Post a Comment