Tuesday, January 26, 2010

CHAMELIONE NA ALBUM 12! FEB 19.


Mwanamuziki mahiri wa Uganda Mayanja aka Jose Chameleone yu tayari kuleta album yake ya 12 mwaka huu imefahamika.
Chameleone, ambaye mara zote hutambulisha album mwanzoni mwa mwaka amesogeza mbele uzinduzi wa album hii toka ta 29 jan hadi Feb 19 ili kumpisha mkali wa r&b R KELLY anaunguruma Uganda siku hiyo.
Chamelione anatarajiwa kuzindua album hiyo katika viunga vya kampala city council tar 19 feb.kumbuka mwakajana jamaa alizindua album yake ya “katupakase” akiwa kwenye wheel chair.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Haraka haraka haina baraka, twasubiri sie!!