
jumapili ya tar 31 jan kinara wa afrika Fally Ipupa alikua ni miongoni mwa wageni walioalikwa katika tuzo za 52 za gramy huko los angles marekani jarida la vibe limetanabaisha,kwa fally kuhudhuria show hiyo maana yake ni kuweka miadi ya kufanya kazi na wazalishaji wa magharibi na wasanii wengine huko, sasa tusubiri baada ya olivia nani atafuata.
2 comments:
labda 50 cent?...he can do it big! I believe in him
Nasikia siku hivi Agape katika hiyo Radio unayofanyia kazi watangazaji wenzio kazi yao wakiwa katika vipindi vyao ni kuwaponda tu wale wenzenu i mean Ebony Fm halafu wenzenu wala hawashughuliki na ninyi wao wakiwa katika vipindi ni kuongelea mambo ya vipindi tu,sasa brother hamuoni kuwa mnajishusha,pigeni kazi wajameni acheni majungu,we Agape ushapita Radio nyingi tu embu wafundishe wenzio,watu wenyewe wote hapo nasikia hakuna hata anayejua kutangaza wote wabovu tu!
Post a Comment