
wadau wa muziki wa kongo yaonekana wamechoshwa na tabia za magomvi katika muziki nchini humo, mdau mkubwa nchini humo didi kinuani amewataka koffi olomide na mwenzie werason kumaliza mara moja ugomvi baina yao uliodumu kwa muda sasa, didi kinuani alitoa rai hiyo baada ya kutoa mchango wake katika onesho la werason ili kuchangia wahanga wa haiti, haya sasa ili kujua nini kitafuata kama kawaida mwana wa afrika niko mstari wa mbele kukupasha.
No comments:
Post a Comment