
mwishoni mwa mwaka jana msanii toka mombasa kenya alitarajia kuanza kazi yake mpya ya utangazaji lakini mambo yakaenda kombo,hivi sasa upepo unamwendea vema diva huyo kwani tangu jumatatu ya tar 1 march anaruka hewani katika kituo cha radio ya BARAKA FM, na mwenyewe anasema "ni ndoto iliyotimia naahidi sitawaangusha mashabiki wangu" huyo ndo nyota ndogo muziki hadi utangazaji.
No comments:
Post a Comment