Friday, March 5, 2010

NI ZAMU YA KUWA TIMAMU!


ulimwengu wa teknohama unazidi kukua kwa spidi ya kasi ya ajabu, hapa nina raha kumtambulisha mblogishaji aliye timamu kitimamu. mtembelee hapa upate yaliyo timamu. http://timamusana.blogspot.com/

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Naomba saaana mumuusie Kaka aangalie spellings zake.
Naona hana email na niliyemuomba amueleze labda alisahau ama alimueleza yeye akapuuzia.
Lakini he needs to change that if he wanna be serious in blogging.