Saturday, March 27, 2010

NIMEWAMIS MNO NDUGU ZANGU!


wajameni awali ya yote niombe radhi kuwa siku za hivi karibuni blogu yenu pendwa imekuwa na kwikwi mara kwa mara, hii ni kutokana na sababu zilizo nje kabisa ya uwezo wangu, lakini yote ni majaaliwa yake jalali, inshallah yatakwisha na hali itarejea kama hapo kabla, kwa sasa naomba niwasalimu tu kwani nagonjeka, afya imeleta mgogoro kidogo, tuvute subra nitarejea kumwaga uhondo kwenu wadau.

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Umemisiwa pia na pole sana kwa kuumwa.

Mzee wa Changamoto said...

Pole Kaka.
Twakuombea ukae na uwe mwema kisha urejee.
Blessings

AGNESS ANDERSON said...

pole mdau...karibu tena tulisongeshe kaka!

Jestina George said...

POLE SANA AGAPE MISS U TOO BRO.

Sarp said...

POLE...hola at yo girl hapa..U got my email....incase u ve lost It nichek angaliabongo@yahoo.com
Got something 4 u

Anonymous said...

Kwa ushauri wangu,Agape acha pombe,rekebisha maisha yako,utakuwa chzi sasa hivi

Jackline Charles said...

kaka vipi unagonjeka? tupeane taarifa jamani, vipi kwema?

Yasinta Ngonyani said...

Hata mie najiuliza upo wapi? vp ni mzima? au tupe habari ili tuwe na amani.