
malkia wa mutuashi Tshala Muana anatarajiwa kutua jijini paris kukabithiwa tuzo ya "santuri ya dhahabu" (gold disc) baada ya mauzo album yake ya "sikila" kuuza zaidi ya nakala 140,000,malkia huyo wa mutuashi amealikwa na kampuni inayosimamia kazi yake ili akabidhiwe tuzo yake hiyo.

2 comments:
kaka , ka unajua kweli kupotea. Nafurahi umerudi na kuwa nasi.
haswaaaa inapendeza
Post a Comment