Monday, October 25, 2010

FERRE NA FALLY VITA MPYA UFARANSA!



katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni mwendelezo wa vita ya kimuziki kati yao wanamuziki matata wa congo FALLY IPUPA na FERRE GOLA wanatarajiwa kuwa katika vita ya kufungua mwaka jijini paris, wakati fally anadai ziara yake ilipangwa na kutangazwa mapema waratib wa ziara ya ferre wameingilia mpango huo na kutaka kutibua hali ya hewa kwa wapenzi wa muziki huo waliojaa nchini ufaransa.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha kuona umejitokeza maana nilikuwa najiuliza huyu kaka yupo wapi? Karibu sana tena sana katika familia hii ya kublog.