Sunday, November 7, 2010

JUMAPILI YA MARAFIKI!


Hakuna kitu poa kama baada kazi nyingi kupata tym ya kurelax na kuenjoy na marafiki, my very best friend carol magessa (wa pili kushoto) akila bata na marafiki.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nakubaliana nawe hakuna kitu kizuri kama hicho. Na kuwa na marafiki ndio zaidi ni muhimu sana kuwa na marafiki. Jumapili njema kwa wote

Anonymous said...

Yakhe ni kweli kabisa!baada ya kazi nzito na kukorofishana na maboss huko ma ofcn tunahitaji kurelax,si mchezo Warembo wamependeza!

mumyhery said...

mhu kweli kabisa!!!