Monday, December 5, 2011

HALI YANGU YAENDELEA VEMA!


Baada ya kufanyiwa upasuajikwa mara ya pili JOSE MARA mwanamuziki wa kundi la mapacha watatu amesema anaendelea vizuri na karibuni atarudi jukwaani.

0 comments: