Thursday, December 1, 2011

PATCHO MWAMBA "TAJIRI" MUZIKI HADI FILAMU


kama ilivyo kwa wasanii wakubwa ulaya na amerika ndivyo patco mwamba mwanamuziki toka FM ACADEMIA anaonekana kwa sasa akitesa katika medani ya filamu za kibongo na mwenyewe anasema anafurahi kujua kuwa ana kipaji kingine ambacho ni kama amechelewa kukijua.

2 comments:

Anonymous said...

Big up Patcho!

Yasinta Ngonyani said...

Kwanza niseme karibu sana maana ulipotea kama nini. Na kila la kheri Patcho