Friday, April 26, 2013

MAPACHA KUINADI YARABI NAFSI MIKOANI!!

Baada ya kuitambulisha rasmi albam yao ya pili ya YARABI NAFSI jijini dar bendi ya mapacha watatu sasa wako mbioni kufanya ziara ndefu mikoani ili kuwapa raha na ladha wapenzi na mashabiki wao wakiwa na sura mpya baada ya kalala jr kurejea twanga pepeta, ziara hiyo inatarajiwa kuanza jijini dodoma tar 1may na kuendelea mjini morogoro tar 10 kisha mikoa mingine itatangazwa. 

No comments: