Monday, May 11, 2009

TUMKUMBUKE BRENDA FASSIE

Mwanamuziki mwenye vituko lukuki brenda fassie ambaye aliwahi kujitangaza kuwa ni msagaji, kisha akajitumbukiza katika matumizi ya dawa za kulevya hadi mauti ilipomfika, nipeni stori zaidi wadau si mnakumbuka enzi za vulindlela.

No comments: