Monday, May 4, 2009

CHANGAMKA KILA ASUBUHI

Mtoto wakike AGNESS SAMSON anadhihirisha kuwa si kuwachangamsha radioni tu bali hata masuala ya ulimbwende anatisha, hebu mcheki hapa chini



4 comments:

Anonymous said...

Safi sana,2likuwa 2naisikia tu sauti yake kumbe mtoto mkali ivyo duh,2nakushukuru Agape mwana viva kwa kututelemshia kitu kikali cha Ebony,pamoko sanaaaaaaaa!!!!!

Anonymous said...

Agape niunganishie huyu mtoto bana!!!!!!dah!!!!

Anonymous said...

Acha uroho kijana,we wamjua???utaunganishiwa na majini kumamaeee!!!

Anonymous said...

Asante!!!