Monday, June 15, 2009

HUYU NDIYE BAHATI ALEX ORIGINAL

Hakika haiwezekani kumzuia mtoto huyu wa kike asifanye atakalo, ukimsikia radioni hutabanduka kwa sauti yale laini iliyojaa bashasha utadhani hajui shida, sasa kapiga hodi hodi kwenye ulimwengu kublogisha, haya mama kamata bomba twende ........... mtembelee hapa http://jambobeat.blogspot.com/

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hodi hapa nimepita kukusalimu.

Mzee wa Changamoto said...

Karibu Dada Bahati. Karibu tupo na kwako twaja.
Asante Kaka Agape kwa kutuonesha njia ya "baraza" jingine. Wacha tukanywe gahwa huko. Lol
Blessings