Thursday, June 11, 2009

MUZIKI SIO RAHISI KIIVYO

baba anatafuta pesa kwa tabu halafu watu eti, oooh we kazi yako rahisi si mnapiga tu mziki, nyieee,,,,,,,,

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Ni kweli Kaka. Kuna taabu ya kudharau kazi za watu kwa kuwa hatupitii. Lakini kila kazi yaweza kuwa rahisi ama ngumu kulingana na umahiri na kujituma kwa mhusika. Huyu angeamua kusimama tuu lakini "mzuka" umemtuma kumaliza kila alichonacho kwenye fani.
Good for him