Monday, June 22, 2009

SI MIMI NI KWIKWI YA MTANDAO!

kwa takriban siku tano hivi sikuwapo mtandaoni kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu, sasa nimerejea na libeneke linaendelea kama kawa, tuko pamoja wadau.

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Tunashukuru kuwa umerejesha "uwezo wako" na sasa umerejea. Tumepita tukakukosa, tukamsoma Wemba na kumuimbia B'day song, sasa twaona umerejea na twafurahi kuwa licha ya kwikwi hili, bado ukingali mzima na mwema.
Karibu tena