msanii wa kizazi kipya T.I.D yu mbioni kufanya ziara mjini mombasa, kwa mujibu wa meneja wa tid jamaa ni ziara yake ya kwanza mombasa tangu atoke jela na kuahidi kuwa itakuwa ni ziara matata sana. ziara hiyo inatarajiwa kufanyika baada ya mwezi wa ramadhani na katika ziara hiyo tid ataongozana na bendi yake "top band", so wakazi wa pande hizo mtoto wa kinondoni huyoooo aja! kazi kwenu.Wednesday, September 16, 2009
T.I.D NDANI YA MOMBASA
msanii wa kizazi kipya T.I.D yu mbioni kufanya ziara mjini mombasa, kwa mujibu wa meneja wa tid jamaa ni ziara yake ya kwanza mombasa tangu atoke jela na kuahidi kuwa itakuwa ni ziara matata sana. ziara hiyo inatarajiwa kufanyika baada ya mwezi wa ramadhani na katika ziara hiyo tid ataongozana na bendi yake "top band", so wakazi wa pande hizo mtoto wa kinondoni huyoooo aja! kazi kwenu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

2 comments:
Nakutaka ziara njema na uwe na wakati mzuri:-)
TID NI MSANII MZURI ILA SIKUIZI NAONA KAMA ANAPOTEA POTEA IVI HUANDA KWA SABABU AMEBEZI KUPIGA HOTEL MUZIK
Post a Comment