Monday, October 12, 2009

PEACKOK KUJENGA HOTELI YA KITALII IRINGA

iringa ilipata kuwa mwenyeji wa maonesho ya utalii kitaifa hivi karibuni na habari njema ni kwamba kampuni ya peackoc sasa inajenga hoteli kubwa ya kisasa katika kiwango cha nyota tano. pichani mzee wa viva afrika nikifanya mahojiano na mkurugenzi mtendaji wa peackok hotel and tausi tours ndugu DAMAS MFUGALE katika maonyesho hayo.

No comments: