Tuesday, October 13, 2009

NI ZAMU YA FERRE GOLA NAIROBI NA DAR

baada kuiva kwa album ya mkali ferre gola na kuwanusisha harufu wakazi wa congo ijumaa ya tarehe 23 huko gombe wakazi wa nairobi na dar es salaam wakae mkao wa kula kuopokea sauti tamu na muziki maridhawa toka kwa mkali wa mafiling huyu mwenye historia safi kimuziki, amethibitisha producer wake Jules Nsana.

2 comments:

Albert G.Sengo said...

eh banaeeee! niliisikia na sasa viva afrika imenikumbusha nategemea kuwako eneo la tukio. ferre na fally walifanya jambo la busara sana kujiengua kwa mtu mzima Koffi kwani walikuwa wameshaiva na kukomaa na pia kutoka kwao wamevipa nafasi vipaji vingine vipya kusikika na kuonekana. mtu mzima koffi anapaswa kujivunia na kuwa nao karibu zaidi ya kuwaponda, akubali matokeo ishakuwa! hizi namba mbili siyo kama Quar.. accademia wale walio enda kwa majivuno wakarudi mmoja mmoja wamepauka, Kubali kataa Hawa wawili wana element za ziada.

viva afrika said...

hakika albert g sengo, jamaa wamekomaa wanahitaji kusimama kwa miguu yao.