
ulimwengu wa teknohama unakua kila siku na hata katika ulimwengu wa tatu mwendo kasi unaongezeka pia, hapa mzee wa viva afrika nikila snepu na mdau agness anderson ambaye naye kagonga hodi kwenye ulimwengu wa kublogisha, karibu sana mdau, swali ni kwamba utashika bomba? manake safari ndefu hii! karibu barazani utupe utamu. mapate hapa
http://www.kiduchu.blogspot.com/
6 comments:
kweli hilo ndio swali kuu maana blog is not easy but its not impossible..
ni kweli kabisaa candy...lakini kwasababu napenda na ninania naamini sitawaangusha.
Nimkaribishe mgeni kwa mikono miwili. Karibu 'mno'!
Ahaaaaaaaaaaa
Na akaribie sana Da Aggie. Asante kwako kwa UWEZESHAJI kwani mwenyewe "mgeni" asema bila wewe nisingekuwa na cha kutolea maoni hapa.
ASANTE KWAKO na TUENDELEZE UMOJA NA MSHIKAMANO HUU
Riesige Danke, wie ich Sie danken kann? viagra preisliste cialis kaufen online [url=http//t7-isis.org]viagra online[/url]
Post a Comment