Monday, October 12, 2009

NI MIAKA 20 TANGU KIFO CHA FRANCO

François Luambo Makiadi (6 July 1938 - 12 October 1989) ni nguli wa muziki barani afrika katika karne ya ishirini, aliheshimika kwa uwezo wake wa ajabu aliposhia guiter, na kwa masongi yake hatari yaliyotamba afrika nzima na dunia kwa ujumla. leo ni mika ishirini tangu kifo cha mkongewe huyu ambaye historia yake imeendelea kuwaongoza wamuziki wengi wa congo na afrika nzima kwa ujumla.

No comments: