ule usiku maalum wa kiafrika ulokua ufanyike katika ukumbi maarufu wa zenith huko ufaransa na mkali wa masebene awilo longomba wa October 18, 2009 umeahirishwa mpaka December 27, 2009! haijajulikana nikwa sababu gani waandaaji wameahirisha onyesho hilo, lakini kwa taarifa zaidi, jikite hapahapa VIVA AFRIKA ntakudondoshea details bila mbwembwe.
Monday, October 12, 2009
ONYESHO LA AWILO ZENITH LAAHIRISHWA!
ule usiku maalum wa kiafrika ulokua ufanyike katika ukumbi maarufu wa zenith huko ufaransa na mkali wa masebene awilo longomba wa October 18, 2009 umeahirishwa mpaka December 27, 2009! haijajulikana nikwa sababu gani waandaaji wameahirisha onyesho hilo, lakini kwa taarifa zaidi, jikite hapahapa VIVA AFRIKA ntakudondoshea details bila mbwembwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

3 comments:
Ahsante kwa taarifa hii muhimu kakangu, VIVA AFRIKA YETU.
poa bwana na wataahirisha hadi january, hivi ingekuwa vipi harusi nazo zingekuwa zinaahirishwa, mfano harusi yangu tarehe 18.10.2009 then nawaambia nimesogeza mbele?.nmmeshaandaa suti na makila kitu, duuuuuuh! ingekuwa tamu hiyooooooo!!!!!!
angeruka juu tu angekuja huku basi ingekuwa bora zaidi lol...nilipenda mziki wake toka mdogo na ss hv naona ana songs mpya..i still love them!!
Post a Comment