Thursday, October 22, 2009

POLE KAKA ALLEN PHILLIP

pole kaka kwa kupotelewa na baba mdogo, ni kipindi kigumu maishani lakini MUNGU ni mkuu sie tulimpenda lakini yeye kampenda zaidi.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana kaka kwa msiba kakangu. Cha msingi ni kumwombea. Amen.