Tuesday, October 27, 2009

TUKUMBUKE ENZI ZA FAMILIA YA "MAKOMA"

hawa ni wanamuziki wa makoma majina yao ni nathalie, penganie, annie, martin, na tutala duma na rafiki wa familia patrick naomba story zao wadau, enzi zile za "butu na moyi"

6 comments:

Faith S Hilary said...

nilikuwa nawapenda hawa watu vibayaaaaaaaaaa!!!!!! yaani dah...then wakapotea...I wonder what happened ila mpaka leo nitaenda Youtube kutafuta nyimbo zao and their website too...I remember them coming to TZ...but some of us were too little to go lol

AGNESS ANDERSON said...

aisee we agape bwana fanya mambo tujue walipo na wanafanya nini,mana umenifanya nikumbuke mbaaaali. mwone kwanza...

Albert G.Sengo said...

ili uwe mjanja enzi zao shurti uwe na kanda zao, kila kona utasikia butu na moyi,butu na moyi. si watoto si wakubwa maharusini usiseme wimbo wa kutoa zawadi.. hata masista du pale home a town mitembeo ya kujiamini na style ya nywele walikopi na kupesti. kuna sista du mmoja alikuwa akiishi kijenge na kuskuli chuo cha ufundi arusha ili afike skuli alikuwa akikatiza mtaani kwetu makao mapya alikuwa anafanana na sista mmoja wapo wa makoma na aliiga style yao ya nywele ikawa nongwa! ilikuwa kazi akipita watu macho pima... mitaani watu walijigongajeeee!!!! siendelei...

Unknown said...

Bila shaka huyo sister alikuwa anafanana na nathalie

Unknown said...

Sasa makoma wamerudi,wana mambo mapya, yaani wewe acha wama bomba la arbum EVOLUTION,,da hilo ni noma,,,yaan

Unknown said...

Sasa makoma wamerudi,wana mambo mapya, yaani wewe acha wama bomba la arbum EVOLUTION,,da hilo ni noma,,,yaan