Thursday, October 22, 2009

WANA WA AFRIKA WAKUTANAPO!

akon uso kwa uso na fally ipupa katika tuzo za mtv huko kenya. wadau vipi hawa jamaa wakipiga collabo.,.,.,.,.,.,.,

5 comments:

Anonymous said...

ningefurai zaidi kama wasanii wanafanya vizuri duniani kama jamaa hawa kafanya collabo>>>>>>litakuwa KALI USILIPME>>JREE

Jackline Charles said...

Wakifanya collabo itakuwa poa balaa, maana si unajua sauti ya Akon kaka daaaaaah!!!!!! then siyo siri hakuna mwanamuziki ninayemfeel Kongo kama FALLY IPUPA. duuuuuuh!!!!!!!

viva afrika said...

safi sana JREE itakua kali,

jacline charles safi kwa kuwafeel waafrika wenzetu.
kanyaga twende wadau.

Faith S Hilary said...

Kama Fally kafanya collabo na Olivia wa G-Unit then why not with Akon!!!

viva afrika said...

ha haaaaa ilove that candy1, hiyo imekaa vizuri, lets wait and see.