Tuesday, November 10, 2009

TUKUNYEMA MPAKA CHINI,,,,,,,,,,,,,,,,,,

tume ya maadili inaposhangilia namna isiyofurahisha ya uchezaji kwa madensa wao, lakini hivi sasa congo uvaaji na staili ya uchezaji ni mjadala mkubwa, hapa kwetu basata waliwahi kutishia kuzifungia bendi za dansi ambazo wanenguaji wake wanavaa bila kuzingatia maadili, haya ngoja tuone nini kitafuata katika mjadala huu.

5 comments:

AGNESS ANDERSON said...

teh teh teh....sio mchezo kaka kweli hilo ni tukunyema,tukunyema.

John Mwaipopo said...

hivi mie nadhani hapo madansa walipofika panatosha. wasiongeze 'jinsi ya kuwa uchi zaidi'. lakini nadhani hata kwenye maandiko imo kuwa kama jicho linakusumbua ling'oe/ling'ofoe. wasiotaka wasiangalie.

Yasinta Ngonyani said...

Chungulia kidogo eti, hahahahahah

Mdoti com-kom said...

Basata ni kama chama cha siasa, je wanachawa wote wakikosea wakafukuzwa uanachama itakuwaje? Thats na chama kinakufa. So basata haiwezi kupoteza "kula yake"

John Mwaipopo said...

yasinta -:)