
nilijiuliza kwa muda alipo mdogo wangu mpenzi jackline charles na leo kanambia alipata mkasa wa kuvamiwa na majambazi, na kujeruhiwa. pole sana dada, nashukuru waendelea vema, MUNGU akujaalie nafuu urejee kazini na bloguni pia, POLE SANA MDAU. msalimie hapa
http://jacklinecharles.blogspot.com/
2 comments:
Ohh! Pole sana dada Jackline kwa mkasa huo. Twashukuru kuwa Mungu yupo nawe na twakutakie upone haraka kwani twakutamani dadatu. Nakuombea.
pole sana sista...
Post a Comment