Ukiwa naye nakuwa wa "zigzag" ama? Hahahahahaaaaaaaaaaa. Sikujua kuwa twaoneshana ishara. Nazidi kujifunza namna nisikiavyo. Nilianza kujua dalili ama maana za kuvaa kishanga mguuni. Sasa naona ya wanja. Kaazi kwelikweli. Lakini TUTAFIKA TUU. Viva bloggers, Viva Tanzania, VIVA AFRIKA
4 comments:
Kusema kweli hata mimi mgeni haya mambo na mimi ni mwiko kabisa. Kwa hiyo sijui na sielewi kwa nini watu wanafanya hivyo kwangu mimi ni hadithi tu.
Ukiwa naye nakuwa wa "zigzag" ama?
Hahahahahaaaaaaaaaaa. Sikujua kuwa twaoneshana ishara. Nazidi kujifunza namna nisikiavyo. Nilianza kujua dalili ama maana za kuvaa kishanga mguuni. Sasa naona ya wanja.
Kaazi kwelikweli. Lakini TUTAFIKA TUU.
Viva bloggers, Viva Tanzania, VIVA AFRIKA
Hivi nyie mnaongelea nini? Mbona mimi bado naangalia midomo yake tu?:-)
Post a Comment