Tuesday, September 8, 2009

HALO HALOO!! ATI MWANAMKE WANJA BABU....

nlipomwuliza huo wanja waitwaje akanambia waitwa "sina bwana" haya wadau mie mgeni kama mjuavyo hapa naomba kupewa darasa.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kusema kweli hata mimi mgeni haya mambo na mimi ni mwiko kabisa. Kwa hiyo sijui na sielewi kwa nini watu wanafanya hivyo kwangu mimi ni hadithi tu.

Yasinta Ngonyani said...
This comment has been removed by the author.
Mzee wa Changamoto said...

Ukiwa naye nakuwa wa "zigzag" ama?
Hahahahahaaaaaaaaaaa. Sikujua kuwa twaoneshana ishara. Nazidi kujifunza namna nisikiavyo. Nilianza kujua dalili ama maana za kuvaa kishanga mguuni. Sasa naona ya wanja.
Kaazi kwelikweli. Lakini TUTAFIKA TUU.
Viva bloggers, Viva Tanzania, VIVA AFRIKA

Simon Kitururu said...

Hivi nyie mnaongelea nini? Mbona mimi bado naangalia midomo yake tu?:-)